
Diwani ya mshairi chipukizi lakini mkongwe, Ali Abdulla Ali, iliyobeba mawazo mapevu ya namna Mswahili anavyoyaangalia maisha kwa jicho la kishairi.
Page Count:
90
Publication Date:
2018-02-24
ISBN-10:
1985873893
ISBN-13:
9781985873896
No comments yet. Be the first to share your thoughts!