
Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni lazima wafundishwe jinsi ya kuishi vyema. Chifu wa eneo lao amepanga semina kadhaa kujaribu kuwasaidia. Lakini mbwa, baada ya semina ya kwanza, anajifanya mjeuri.
Page Count:
31
Publication Date:
2005-01-01
Publisher:
Phoenix Publishers
ISBN-10:
9966471391
ISBN-13:
9789966471390
No comments yet. Be the first to share your thoughts!