
Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu. Translator: Emmanuel Satongima PUBLISHER: TEKTIME
Page Count:
15
Publication Date:
2021-02-18
Publisher:
Tektime
ISBN-10:
8835419298
ISBN-13:
9788835419297
No comments yet. Be the first to share your thoughts!