
As an Amazon Associate and affiliate partner, Menrva Books earns from qualifying purchases. Learn more
Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ambaye Ameonekana kufanya kazi Yake, anaonyesha ukweli wote ambao huwatakasa na kuwaokoa wanadamu, na wote umejumuishwa katika Neno Laonekana katika Mwili. Hili limetimiza kile kilichoandikwa katika Biblia: “Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana 1:1). Na kuhusu Neno Laonekana katika Mwili, hiyo pia ilikuwa mara ya kwanza Alipozungumza mengi hivyo, na kwa muda mrefu sana, kwa wanadamu wote. Ilikuwa ya kipekee kabisa. Na zaidi, matamshi haya yalikuwa maneno halisi ya kwanza yaliyoonyeshwa na Mungu miongoni mwa wanadamu ambapo Aliwafichua watu, akawaongoza, akawahukumu, na kuzungumza nao wazi wazi na kwa hiyo, pia, yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo kwayo Mungu aliwaruhusu watu wajue nyayo Zake, mahali Anapokaa, tabia ya Mungu, kile Mungu anacho na alicho, mawazo ya Mungu, na sikitiko Lake kwa wanadamu. Inaweza kusemwa kwamba haya yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo Mungu alikuwa amezungumza kwa wanadamu kutoka mbingu ya tatu tangu uumbaji, na mara ya kwanza ambapo Mungu alikuwa ametumia utambulisho Wake wa asili kuonekana na kuonyesha sauti Yake kwa wanadamu katikati ya maneno. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ YouTube: https://l.kingdomsalvation.org/sw/video Email: contact.sw@kingdomsalvation.org
Page Count:
4099
Publication Date:
1900-01-01
Publisher:
Kanisa la Mwenyezi Mungu
ISBN-10:
9864321617
ISBN-13:
9789864321612
No comments yet. Be the first to share your thoughts!